- 
                                            
                                                
                                                Je, Umesikia
                                            
                                            
                                                ziwa ndogo lachipuka huko Muhumba mbele ya makao ya misionari moja mgeni? Hata hivyo, majirani hushanga kuona namna gani ziwa hilo latukia wakati lingefutwa mahali pale.
                                                
                                            
                                            
                                                Swahili
                                            
                                            
                                            
                                            il y a 5 ans
                                            
                                         
                                                                            - 
                                            
                                                
                                                Je, Umesikia
                                            
                                            
                                                KUWA, kwa nia ya kuheshimisha amri ya kingozi wa jimbo la Maniema ambaye ashurtisha viongozi wa mitaa na mkoa wa kakutya kamutolea kiasi kingi cha pesa, bwana kansilebo katoa amri ambayo ni ya kipekee mtaani mwake?
                                                
                                            
                                            
                                                Swahili
                                            
                                            
                                            
                                            il y a 5 ans
                                            
                                         
                                                                            - 
                                            
                                                
                                                Je, Umesikia...?
                                            
                                            
                                                Kuwa, yapata zehebu na madini za kikristo 15 viapigania kustawi huko Lugushwa ambako kwapatikana zahabu nyingi mtaani kote Mwenga na ambako wachimba magodi watwaa vifaa vyao kuenda mitoni?
                                                
                                            
                                            
                                                Swahili
                                            
                                            
                                            
                                            il y a 5 ans
                                            
                                         
                                                                            - 
                                            
                                                
                                                Je, Umesikia...?
                                            
                                            
                                                KUWA, viongozi wa chumba kihusikacho na mambo ya arzi na wale wa ujenzi bora wa jimbo ya kivu ya kusini wapaswa kujiuliza kwa nini kawauzishia wafanyabiashara wakuu wa hapa Bukavu...
                                                
                                            
                                            
                                                Swahili
                                            
                                            
                                            
                                            il y a 5 ans
                                            
                                         
                                                                            - 
                                            
                                                
                                                Je, Umesikia...
                                            
                                            
                                                Kuwa: mchuuzi moja wa mafuta ya taa hapa mjini Bukavu haregei na kitembo chake chua kujenga bomba la kushota "Essence" kunako "place Mulamba"? Nia yake iliyopingwa marufuko mwaka jana na wanafunzi wa chuo cha Alfajiri na Cirezi hapo walipoandamana barabarani.
                                                
                                            
                                            
                                                Swahili
                                            
                                                                                            publié par
                                                
                                                     JUA
                                                
                                            
                                            
                                            il y a 3 ans
                                            
                                         
                                                                            - 
                                            
                                                
                                                Je, Umesikia...?
                                            
                                            
                                                Kuwa: Makamu wa zamani wa liwali wa jimbo la Kivu ya Kusini, bwana Ngoy Shambuyi, ambaye kaony wa kutumwa, kutumikia mahali mengine angali bado mjini Bukavu?
                                                
                                            
                                            
                                                Swahili
                                            
                                                                                            publié par
                                                
                                                     Imata Raphael Déwen
                                                
                                            
                                            
                                            il y a 3 ans
                                            
                                         
                                                                            - 
                                            
                                                
                                                Je, umesikia...?
                                            
                                            
                                                Kwamba: Shirika SNEL kapingwa bumbwazi mataani bagira ambako vijana kapinga shirika hilo kuchukua chombo moja cha kugawa moto wa stimu mutaani mwao na ambacho katezamiwa kupelekwa jimboni mwa Zaare ya juu?
                                                
                                            
                                            
                                                Swahili
                                            
                                            
                                            
                                            il y a 3 ans