-
Moto umewaka mjini Kananga
Mabadiliko ya peza yaliyojulishwa na kuendeshwa ata sasa nchini Zaïre yaleta matukio ambayo kila nkaaji na raia azungumuzia kila mara akikutano na mwezi.
Swahili
publié par
Mutungwa Abendehwa Phély
il y a 3 ans
-
Bukavu, Ni nani anayewasha moto kunako ISDR?
Kiliweza kupita katika hali ya uwasiwasi na woga kufwatana na mzozo pia fujo kali ilyofanyika wa chuo, ndugu Lubilanji. Siku ile, mwalimu mkuu na kiongozi mkuu wa ISDR, ndungu Lubilanji Katekwa nyara na wanafunzi wake, kapingwa makonde na pia katembezwa kama mwizi na mjambazi wake...
Swahili
publié par
Imata Raphael Déwen
il y a 3 ans