ARTICLE(S) RECHERCHE(S)
-
Birindwa wa UDPS ni yuda?
Kuhusu bwana Faustin Birindwa, gazeti JUA kapendelea kujulisha kwa wasomaji wake yale yasemwayo na vijana wa BBC/Carrefour, mitaani kadutu pa Bukavu. Ndugu P.M. ambaye ni prezidenti wa "Buholo Businessman, Carrefour" (BBC) aloa maoni yake.
Swahili publié par Mutungwa Abandelwa Phély il y a 3 ans